On the Track on the track It's Walter Aaaaaah Yamepita yamepita Yamekwisha yamekwisha Yamekwisha yeh yeh Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Niko tayari kuanza mwanzo upya Niwe kiumbe kipya nizaliwe tena Iiiii yeh yeh yeh Yamepita Chuki na ubinafsi Yamepita Wivu na uporaji wa mali Yamepita Chuki na ubinafsi Yamepita Ukabila na vita Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Mabadiliko haya yamenifaa mie Baraka zako Baba zimetawala Uinuliwe uinuliwe Uinuliwe uinuliwe Baba Muumba uinuliwe Baba Muumba uinuliwe Sifa zikurudie ewe Baba Muumba wa Ardhi na Mbingu aaaaaah Iiiii yeh yeh yeh Yamepita Chuki na ubinafsi Yamepita Wivu na uporaji wa mali Yamepita Chuki na ubinafsi Yamepita Ukabila na vita Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Mawimbi yote Yamepita Unyanyasaji Umeisha Iiii yeh yeh yeh


I BUILT MY SITE FOR FREE USING